Msaada kuhusu kutoka kwa hedhi

Msaada kuhusu kutoka kwa hedhi

moses musa

Senior Member
Joined
Apr 25, 2017
Posts
164
Reaction score
97
Wakuu hivi kawaida ya hedhi,kuvuja hasa huu mwezi Mke wangu imekuja kwa matone matone tu siku ya kwanza kdogo sana ya pili
Ndyo kabsa hamna.

By mm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sababu za kupungua kwa damu ya hedhi zipo nyingi ikiwemo maradhi ya mwili, msongo wa mawazo, safari au kubadili mazingira kwa haraka, upungufu wa madini ya chuma mwilini, baadhi ya njia za uzazi wa mpango n.k. Wasiliana na mwenzio kuchunguza zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom