Msaada kuhusu kuwekeza kwenye banda la kuchezea games

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Ni imani yangu mko wazima wakuu.
Naomba msaada wa kujulishwa gharama zitakazo tumika kumiliki ps4 (bei ya ps4, flat screen ya bei ya kawaida) na vitu vingine vya muhimu natakiwa kuwa navyo ili kuwezesha hii kazi iende sawa.Asante
 
Hivi kutumia ps au computer kipi ni bora zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…