Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni imani yangu mko wazima wakuu.
Naomba msaada wa kujulishwa gharama zitakazo tumika kumiliki ps4 (bei ya ps4, flat screen ya bei ya kawaida) na vitu vingine vya muhimu natakiwa kuwa navyo ili kuwezesha hii kazi iende sawa.Asante
shukrani sana mkuu...hapa ntapata maelezo muhimBiashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake
Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake. WADAU WANAOHITAJI MUONGOZO KUHUSU BIASHARA HII Habari wana JF,natumaini nyie ni wazima wa...www.jamiiforums.com
PS 2'3'au 4 ndio game izo PC uwa azinogiHivi kutumia ps au computer kipi ni bora zaidi?