Msaada kuhusu kware

Msaada kuhusu kware

kamisha

Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
39
Reaction score
1
Wadau wenye uzoefu na uelewa plz nisaidieni namna ya kutengeneza chakula bora cha Kware cha wik ya5 nakuendelea ili waweze taga vizuri mfululizo na mayai yenye ubora, naogopa chakula cha dukan, tusaidiane wakongwe,
 
Back
Top Bottom