Msaada kuhusu leseni ya udereva iliyokwisha muda wake

rockrich

Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
29
Reaction score
38
Habari,

Naomba msaada kwa wanaoelewa kuhusu mambo haya. Nimekuwa nikiishi nje ya nchi kwa muda sasa nimerud na lesen yangu ya udereva nimekuta tarehe ya ku-expire imeshapita yaani ni takribani miaka 3 tangu imexpire! imeexpire mwez 4/ 2019.

Nimeskia skia maneno kuwa kwamba ikipitisha mika miwili baada ya kuexpire inakupasa uombe leseni upya na sio kurenew.

MSAADA KWA WAJUZI WA MAMBO
 
Unapaswa uombe upya mana mda umeshapita sana
 
Habari,

Naomba msaada kwa wanaoelewa kuhusu mambo haya. Nimekuwa nikiishi nje ya nchi kwa muda sasa nimerud na lesen yangu ya udereva nimekuta tarehe ya ku-expire imeshapita yaani ni takribani miaka 3 tangu imexpire! imeexpire mwez 4/ 2019.

Nimeskia skia maneno kuwa kwamba ikipitisha mika miwili baada ya kuexpire inakupasa uombe leseni upya na sio kurenew.

MSAADA KWA WAJUZI WA MAMBO
Kiongozi nenda TRA kwanza,wataangalia na watakushauri la kufanya.

kutokana na mazungumzo kati yao na wao,utatoka na uamzi ambao hutajutia.
 
Anza upya mchakato wa kuomba leseni kwani hiyo tiyari Imeondolewa kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom