whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Hivi kwanini wanabania C?Andaa kama 300k. Nenda TRA tawi la karibu, ongea na utakayemkuta. Unapata madaraja yote kutoa C.
It's more than fair.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini wanabania C?Andaa kama 300k. Nenda TRA tawi la karibu, ongea na utakayemkuta. Unapata madaraja yote kutoa C.
It's more than fair.
Rock,Habari,
Naomba msaada kwa wanaoelewa kuhusu mambo haya. Nimekuwa nikiishi nje ya nchi kwa muda sasa nimerud na lesen yangu ya udereva nimekuta tarehe ya ku-expire imeshapita yaani ni takribani miaka 3 tangu imexpire! imeexpire mwez 4/ 2019.
Nimeskia skia maneno kuwa kwamba ikipitisha mika miwili baada ya kuexpire inakupasa uombe leseni upya na sio kurenew.
MSAADA KWA WAJUZI WA MAMBO
C ya kufoji muende kuua abiria? C ni magari makubwa ya abiria lazima uwe na cheti. Ukichinja ni zaidi ya watu 60. Nani akubali kuitoa kiholela.Hivi kwanini wanabania C?
Ili umnyoe nyweleniunganishe na huyo sister kaka tafadhal nitamtoa
KWA BEI GAN MKUU?Babo ipo yangu nme renew juzi tu ili expire 2019 October
Hivi kwanini wanabania C?
Eti kiongozi, nilazima ubebe Tin Number, ao kitambulisho cha Nida?? Ao iyoiyo lesseni inatosha?? Naomba ufafanuzi.Rock,
Hili la kufungulia uzi pia? Mnapenda kupigwa...
Nenda ofisi yoyote ya TRA wanaporenew leseni lipia 70,000/= utapata leseni yako ila watakata hiyo miaka miwili ina maana itaexpire baada ya miaka mitatu na sio mitano.
Faru,Eti kiongozi, nilazima ubebe Tin Number, ao kitambulisho cha Nida?? Ao iyoiyo lesseni inatosha?? Naomba ufafanuzi.
Poa poa mkuu, asante kwa ufafanuzi.Faru,
Leseni yako ya zamani inatosha. Hamna haja ya kubeba TIN number.
Lakini kama ni daraja C lazima uende na vyeti vyako vya udereva...
Hii comment imenipa muongozo, naelekea hukoMkuu anzia t.r.a. kwanza, wao wanakuweka ktk mfumo. Halafu utaenda pollisi kwa ajili ya ku verify. Halafu utarudi tena t.r.a hapo watakupa control namba ya kulipia.
Utalipia unapopenda. Kwa simu, wakala, au benki.
Ukishalipia baada ya wiki 2 utaenda t.r.a kuchukua leseni yako ambayo itakuwa imekatwa miaka ile ambayo hujalipia.
Ukiwapa hela kdg wanaweza kukupa hata siku hiyo hiyo!
MhBabo ipo yangu nme renew juzi tu ili expire 2019 October