Msaada kuhusu leseni ya udereva iliyokwisha muda wake

Rock,
Hili la kufungulia uzi pia? Mnapenda kupigwa...

Nenda ofisi yoyote ya TRA wanaporenew leseni lipia 70,000/= utapata leseni yako ila watakata hiyo miaka miwili ina maana itaexpire baada ya miaka mitatu na sio mitano.
 
Eti kiongozi, nilazima ubebe Tin Number, ao kitambulisho cha Nida?? Ao iyoiyo lesseni inatosha?? Naomba ufafanuzi.
 
Eti kiongozi, nilazima ubebe Tin Number, ao kitambulisho cha Nida?? Ao iyoiyo lesseni inatosha?? Naomba ufafanuzi.
Faru,
Leseni yako ya zamani inatosha. Hamna haja ya kubeba TIN number.

Lakini kama ni daraja C lazima uende na vyeti vyako vya udereva...
 
Mkuu anzia t.r.a. kwanza, wao wanakuweka ktk mfumo. Halafu utaenda pollisi kwa ajili ya ku verify. Halafu utarudi tena t.r.a hapo watakupa control namba ya kulipia.

Utalipia unapopenda. Kwa simu, wakala, au benki.

Ukishalipia baada ya wiki 2 utaenda t.r.a kuchukua leseni yako ambayo itakuwa imekatwa miaka ile ambayo hujalipia.

Ukiwapa hela kdg wanaweza kukupa hata siku hiyo hiyo!
 
Hii comment imenipa muongozo, naelekea huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…