Msaada kuhusu M-pawa

DANIEL MWITA

Senior Member
Joined
Sep 16, 2012
Posts
117
Reaction score
41
Anayefahamu kuhusu asilimia ya riba ukiweka pesa m-pawa na hiyo riba inatolewa baada ya muda gani?anipm au anitxt kwny 0715-140001
 
nilianza kwa kuweka laki baada ya miezi miwili hakuna kilichoongezeka sielewi hiyo riba inatolewaje.
 
Me nimeweka akiba zaidi ya mwez sasa na hakuna hata senti iliyoongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…