Mac gani na ya mwakagan?Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti. Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa Audio/video zote. nimejaribu kuchek drivers naona kama ziko ok lakini bado sauti haitoki
naombeni mwongozo nifanye nini au kuna kitu bado kina miss kinahitajika?
Mkuu ulichoandika hakieleweki Mac os au Mac pc!?Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti. Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa Audio/video zote. nimejaribu kuchek drivers naona kama ziko ok lakini bado sauti haitoki.
ila sauti inatoka pale tu ninapoiwasha baada ya hapo hakuna sauti yoyote inatoka
naombeni mwongozo nifanye nini au kuna kitu bado kina miss kinahitajika?
type device manager then angalia hapo kwenye voice click ukiona working properly ijue ni wondow yako tu au setting.Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti. Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa Audio/video zote. nimejaribu kuchek drivers naona kama ziko ok lakini bado sauti haitoki.
ila sauti inatoka pale tu ninapoiwasha baada ya hapo hakuna sauti yoyote inatoka
naombeni mwongozo nifanye nini au kuna kitu bado kina miss kinahitajika?
nimechek nimeona kipengele cha window activation, ujumbe uliopo ni window is not activated hafikiri hapa inaweza kuwa ndio shida inapoanzia bila shaka?type device manager then angalia hapo kwenye voice click ukiona working properly ijue ni wondow yako tu au setting.
kama inachangamoto itaonyesha red cross
Mkuu achana na hiyo kwanza anzia kwenye Device manager uone kama hakuna tatizo.nimechek nimeona kipengele cha window activation, ujumbe uliopo ni window is not activated hafikiri hapa inaweza kuwa ndio shida inapoanzia bila shaka?
Then issue yako ni window either ni setting au activation but kama unaweza ku-install nyinginenimeangalia ujumbe uliopo ni this device is working properly
Haihusiani na kutotoa sautinimechek nimeona kipengele cha window activation, ujumbe uliopo ni window is not activated hafikiri hapa inaweza kuwa ndio shida inapoanzia bila shaka?
Inaweza kusolveok asante, vipi niki update hii window niliyonayo?
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti.
Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa Audio/video zote. Nimejaribu kuchek drivers naona kama ziko ok lakini bado sauti haitoki.
Ila sauti inatoka pale tu ninapoiwasha baada ya hapo hakuna sauti yoyote inatoka
Naombeni mwongozo nifanye nini au kuna kitu bado kina miss kinahitajika?
Macbook ya aina gani boss umeulizwa ujajibu BADO?Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti.