Fundifundisho
Member
- Jan 11, 2011
- 77
- 18
Mafua sugu yanasababishwa na Maradhi ya (Mucus) Dawa yake kula punje 2 za Kitunguu Saumu kila siku asubuhi unapo amka tafuna hizo punje 2 za Kitunguu Saumu kisha meza kwa maji ya Uvuguvugu. Na Wakati wa mchana kula tena kama ulivyo fanya asubuhi na wakati wa usiku kula tena kama ulivyofanya wakati wa mchana tumia hiyo dawa skwa iku 3 umepona hayo mafua yako sugu.Nahic mm ni zaid yake, mi huwa yanapona siku 1 au 2, siku ya 3 yanalud tena,
Wewe nani kwambia kuwa Mafua sio ugonjwa ?Ulaya wazungu wengi wanateseka mpaka kufa kwa ajili ya hayo Mafua unayo dharau wewe.Hujawahi kuumwa na mafua wewe Mkuu ndio maana unayadharau mafua ni hatari sana ukiwa nayo.Mafua sio ugonjwa,na inategemeana na mazingira uliopo hali ya hewa sehemu husika..
Nenda ukapime vipimo vyoteNina rafiki yangu anasumbuliwa na mafua huwa yanapona lakini haizidi wiki mbili yanaanza tena,
amepima mpaka HIV yuko salama..Ila ndo hivyo mafua yanamtesa..
Mwenye uelewa atujuze..