Msaada kuhusu mafua sugu..!

Msaada kuhusu mafua sugu..!

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Nina rafiki yangu anasumbuliwa na mafua huwa yanapona lakini haizidi wiki mbili yanaanza tena,
amepima mpaka HIV yuko salama..Ila ndo hivyo mafua yanamtesa..
Mwenye uelewa atujuze..
 
Mwenye uelewa wa hii dawa atusaidie mimi sijawahi pona na nizaidi ya mwaka naugua mafua.
 
Me mwenyewe nina mafua ambayo nahisi ni aleji but i don't know ni aleji ya nini hasa.nahisi ni vumbi coz nikiwa maeneo dizaini hizo hali huwa mbaya.me huwa natumia vodonge vinaitwa celestamine ambavyo ni kwa ajili ya aleji.
 
Ooo! Jaman tuko wengi mdau anayejua dawa atujuze jf ni kila kitu
 
Nafikiri jaribu kutumia product za forever living tatizo lao litapata ufumbuzi, piga 0655 290 333 kwa maelezo zaidi
 
Nina rafiki yangu anasumbuliwa na mafua huwa yanapona lakini haizidi wiki mbili yanaanza tena,
amepima mpaka HIV yuko salama..Ila ndo hivyo mafua yanamtesa..
Mwenye uelewa atujuze..
s-l225.jpg hiki kitabı page number 200, kinasema "it is a response to mass negativity and beliefs.fear belief in statistics
 
Mafua sio ugonjwa,na inategemeana na mazingira uliopo hali ya hewa sehemu husika..
 
me mwenyewe nina mafua sio ya nchi aisee mpaka nahic labda nina ngoma by the way huwa hayaishi nishahangaika sana bila mafanikio yoyote hapa
 
Nahic mm ni zaid yake, mi huwa yanapona siku 1 au 2, siku ya 3 yanalud tena,
Mafua sugu yanasababishwa na Maradhi ya (Mucus) Dawa yake kula punje 2 za Kitunguu Saumu kila siku asubuhi unapo amka tafuna hizo punje 2 za Kitunguu Saumu kisha meza kwa maji ya Uvuguvugu. Na Wakati wa mchana kula tena kama ulivyo fanya asubuhi na wakati wa usiku kula tena kama ulivyofanya wakati wa mchana tumia hiyo dawa skwa iku 3 umepona hayo mafua yako sugu.

Where does all the mucus come from when you have a cold?
A stuffy nose, then, is your body's attempt to block and expel an infection attacking via your respiratory tract. The extra secretion of mucus to the nose — which comes from the cells that line your sinuses and upper reparatory tract — is the effort to flush out the nasal passages to send those unwelcome germs packing.

GARLIC FOR COLD.jpg
 
Mafua sio ugonjwa,na inategemeana na mazingira uliopo hali ya hewa sehemu husika..
Wewe nani kwambia kuwa Mafua sio ugonjwa ?Ulaya wazungu wengi wanateseka mpaka kufa kwa ajili ya hayo Mafua unayo dharau wewe.Hujawahi kuumwa na mafua wewe Mkuu ndio maana unayadharau mafua ni hatari sana ukiwa nayo.
 
Sijawai pona mafua zaid ya masaa tuu........yanakera balaa
 
Back
Top Bottom