Ngoja wajuzi wake missHabari zenu wadau wa hii forum.
napenda kuuliza,katika tafuta yangu mitandaoni kuhusu data za hizi kampuni 4 (CARGILLS,BUNGE,LOUIS DREYFUS na ARCHER DANIELS MIDLAND)
Je wamefanya investment katika nchi yetu ?
Nachofahamu mpaka sasa ni wamejikita sana kwenye ununuaji wa mazao ya biashara na nawezaje kupata data zao sababu ni makampuni makubwa yanayojihusisha na kilimo
Msaada wakuu.
Nawashukuru sana
Kama wangekuwa Sawa nazani Data zao zingekuwa availavle sana. Ni za nchi zipi? labda uwatafute base na nchi zaoHabari zenu wadau wa hii forum.