RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia nimeshindwa kung'amua kama hizo allowance nazo zitakatwa Kodi au la.
Annually Gross salary wamemuwekwa 27,100,000 TZSH.
Annually Basic salary wamemuwekea 16,300,000Tzsh.
House allowance annually wameweka 8,100,000Tzsh.
Kisha wameweka Transport allowance annually 2,700,00 Tzsh.
Je, kwa mwezi atachukua Net pay ya kiasi gani. Anaanza kazi mwezi ujao tare 1, anadaiwa Heslb pia