la magica
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,979
- 3,148
Labda overtime. Unakataje Kodi Hela ya kulipia Kodi ya nyumba, mawasiliano nk.Zinakatwa sikuizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda overtime. Unakataje Kodi Hela ya kulipia Kodi ya nyumba, mawasiliano nk.Zinakatwa sikuizi
Azikatwi kodi.Labda overtime. Unakataje Kodi Hela ya kulipia Kodi ya nyumba, mawasiliano nk.
Chochote unacholipwa kinakatwa kodi.Sijui kama allowance zinakatwa kodi, kwenye kibarua changu sina hizo allowance.
Hii ni hatariii. Lakini pia ningeomba kuona paragraph ya juu kabla ya hii.
Mkuu acha tu, ushetani hauwezi kuisha kwenye hii nchi. Yaan mpaka ela ya kodi ya nyumba na usafiri eti Serikali inakata, halafu wao huko Serikalini wanapeana nyumba bure, sasa dawa nikuomba iyo ela itoke kama petty cash, lakini ikitoka kama petty cash, usumbufu unakua Kwa muajiri kwenye kutrack mahesabu, lakini ushangae pale TBS perdiem ni laki na 70 Kwa watu wanapoenda site, hiyo ela inajumlisha kula na kulala, lakini hazikatwi Kodi. Halafu eti mtu mwenye allowance ya usafiri,nyumba, na hata wakikuwekea chakula eti Serikali inakata Kodi kama wanakata kweli basi wajitafakari.Labda overtime. Unakataje Kodi Hela ya kulipia Kodi ya nyumba, mawasiliano nk.
iko na details sio sawa ku share mtandaoni.Hii ni hatariii. Lakini pia ningeomba kuona paragraph ya juu kabla ya hii.
Ok, sawa nilitaka nijue Due effect nikwawatu wote hata wale tunaolekea kumaliza mikopo au nikwawanufaika wapya?.iko na details sio sawa ku share mtandaoni.
Sijaelewa swali lako, lakini nafikiri wenye majibu mazuri ni watu wa HESLB. Mi niliweka tu hiyo ili ujue wanachukua kwenye gross salary 15%.Ok, sawa nilitaka nijue Due effect nikwawatu wote hata wale tunaolekea kumaliza mikopo au nikwawanufaika wapya?.
Hapo wamesema effect itaanza december 2023, ndio maana nikataka nijue zaidi kabla yahapo kunawatu walikatwa kutoka kwenye Basic salary nasio Gross.Sijaelewa swali lako, lakini nafikiri wenye majibu mazuri ni watu wa HESLB. Mi niliweka tu hiyo ili ujue wanachukua kwenye gross salary 15%.
Loan board nao wanaenda kwenye Gross, kinaumana sasa.
Huo muongozo utakua Kwa wanufaika wapya.Loan board nao wanaenda kwenye Gross, kinaumana sasa.
Waajiri wenye kujali wafanyakazi wao wafanye figisu mazaga mengine yasiunganishwe na mshahara.
Ooh hii ilikuwa kwa waajiriwa wapya waliokuwa wamefikiwa na Bodi kipindi cha December mwaka jana, wa nyuma zaidi sijui.Hapo wamesema effect itaanza december 2023, ndio maana nikataka nijue zaidi kabla yahapo kunawatu walikatwa kutoka kwenye Basic salary nasio Gross.
Soma Section 7 ya Income Tax Act 2004 RE 2019 hizo zipo subjected to tax katika employment income .Hizo hazikatwi
Kwahio Kwa mwezi hapo nikama 1,358,000/=Take home yake kwa Mwaka baada ya makato ni 16,300,000
Sheria kandamizi hizo za hii nchi.Soma Section 7 ya Income Tax Act 2004 RE 2019 hizo zipo subjected to tax katika employment income .
Kasome hiyo,Section 7 of Income Tax Act 2004 RE 2019.Allowances nafikiri hazikatwi Kodi.
NdiyoKwahio Kwa mwezi hapo nikama 1,358,000/=