Msaada kuhusu makato ya Serikali

Msaada kuhusu makato ya Serikali

Labda overtime. Unakataje Kodi Hela ya kulipia Kodi ya nyumba, mawasiliano nk.
Mkuu acha tu, ushetani hauwezi kuisha kwenye hii nchi. Yaan mpaka ela ya kodi ya nyumba na usafiri eti Serikali inakata, halafu wao huko Serikalini wanapeana nyumba bure, sasa dawa nikuomba iyo ela itoke kama petty cash, lakini ikitoka kama petty cash, usumbufu unakua Kwa muajiri kwenye kutrack mahesabu, lakini ushangae pale TBS perdiem ni laki na 70 Kwa watu wanapoenda site, hiyo ela inajumlisha kula na kulala, lakini hazikatwi Kodi. Halafu eti mtu mwenye allowance ya usafiri,nyumba, na hata wakikuwekea chakula eti Serikali inakata Kodi kama wanakata kweli basi wajitafakari.
 
Basic salary ni mshahara wako bila ta benefits au incentives nyingine.

Gross ni basic salary plus benefits nyingine kama allowances, incentives package.

Net salary ndio amount inaenda bank

Kuhusu makato kama allowances zinaingia pamoja na salary wakati mmoja Mwisho wa mwezi kama Gross salary ,ajiandae watajumlisha na basic salary iwe Gross salary halafu waanzs kukata upya.

Bora hizo allowances awe anapew siku tofauti na siku ya mshahara.
 
Ok, sawa nilitaka nijue Due effect nikwawatu wote hata wale tunaolekea kumaliza mikopo au nikwawanufaika wapya?.
Sijaelewa swali lako, lakini nafikiri wenye majibu mazuri ni watu wa HESLB. Mi niliweka tu hiyo ili ujue wanachukua kwenye gross salary 15%.
 
Sijaelewa swali lako, lakini nafikiri wenye majibu mazuri ni watu wa HESLB. Mi niliweka tu hiyo ili ujue wanachukua kwenye gross salary 15%.
Hapo wamesema effect itaanza december 2023, ndio maana nikataka nijue zaidi kabla yahapo kunawatu walikatwa kutoka kwenye Basic salary nasio Gross.
 
Back
Top Bottom