RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Ungesema ni taasisi gani hiyo?Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia slnimeshindwa kung'amua kama hizo allowance nazo zitakatwa Kodi au la.
Annually Gross salary wamemuwekwa 27,100,000 TZSH.
Annually Basic salary wamemuwekea 16,300,000Tzsh.
House allowance annually wameweka 8,100,000Tzsh.
Kisha wameweka Transport allowance annually 2,700,00 Tzsh.
Je Kwa mwezi atachukua Net pay ya kiasi gani. Anaanza kazi mwezi ujao tare 1, anadaiwa Heslb pia
Private sector.Ungesema ni taasisi gani hiyo?
Hizo allowance kama za nyumba, usafiri zinakatwa kodi?.Basic na annually kuna utofauti gani hapo?
Hizo hazikatwiHizo allowance kama za nyumba, usafiri zinakatwa kodi?.
So hizo hazikatwi PAYE,NSSF,HESLB?.Hizo hazikatwi
Ndio kinachokatwa ni mshahara tuSo hizo hazikatwi PAYE,NSSF,HESLB?.
Ok asante.Ndio kinachokatwa ni mshahara tu
Statutory deductions zinakatwa kwenye basic salarySo hizo hazikatwi PAYE,NSSF,HESLB?.
Basi mkuu litakua jambo jema Kwa bwana mdogo, kampuni itakua imemsaidia kumuepushia makato ya kishetani.Statutory deductions zinakatwa kwenye basic salary
Yesu....πββοΈBasic na annually kuna utofauti gani hapo?
Mkuu mbona waweka mikono kichwani?. Kauliza tu Basic na annually kunatofauti gani yapaswa umsaidie kama wafahamu.Yesu....πββοΈ
Hili swali hata Mwa J asinge likosa mbwa yule....π€¨Hizo hazikatwi
Per month wakila NSSF, PAYE, HESLB16,300,000Γ·12= 1,358,333.333 per month basic Salary.
Basic na gross utakuwa una maanisha au? π€£Basic na annually kuna utofauti gani hapo?
Mkuu dadavua maana we nimzoefu kwenye ajira/kujiajiri kupitia michango yako mbalimbali.Hili swali hata Mwa J asinge likosa mbwa yule....π€¨