Msaada kuhusu makato ya Serikali

TRA wanakata kodi kwenye Goss
Sio poa wanakata baada ya kuwa nssf imetolewa kwenye Gross, hapa ndio kwenye ushetani kama wanalima mpaka house allowance+transport allowance, huu ndio unyonyaji.

Mfanyakazi hawezi jikwamua kwenye dimbwi la ufukara. Ingawa heslb nasikia wanakata kwenye Basic salary, Sina hakika pia juu ya hili.
 
Nimeona tulikopishania. PAYE nilikufikisha around 250k.
BTW mbona kama unajua? Nini lengo la kuuliza kitu unachokijua? Huo uzefu uliojibia hapa si ungeutumia kumjibu huyo dogo???
 
Nimeona tulikopishania. PAYE nilikufikisha around 250k.
BTW mbona kama unajua? Nini lengo la kuuliza kitu unachokijua? Huo uzefu uliojibia hapa si ungeutumia kumjibu huyo dogo???
Sijui kama allowance zinakatwa kodi, kwenye kibarua changu sina hizo allowance.
 
27,000,000÷12= 2,258,333.333 per month Gross salary.

16,300,000÷12= 1,358,333.333 per month basic Salary.

8,100,000÷12= 675,000 per month house allowance.

2,700,000÷12= 225,000 per month transport allowance.

Zipi zakatwa Kodi?.
paye pekeyake kama wastani wanakata 505k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…