Msaada kuhusu makumila universtiy

Msaada kuhusu makumila universtiy

mkuu unachosema ni kweli, makumira inawezekana kabsa wakawa bomba kuliko udom

boss this is fact,niko karibu najiko so naona mapishi ya makumix,pia nilishaona mapishi ya udom,nikafanya comparison nikaona makuumix some how gd,sasa udom watasema sio kweli but,hali halisi inaonekana ,
 
chuo kipo poa sana ila kama ulizoea kula chabo wakati wa mitihani hapa utanoa tunatumia CCTV cameras katika mitihani .majengo ni ya maana sana kama vipi vist www.makumira university.go.tz.utakacho kiona ni real pia kuhusu ACCOMODATION chuo kipo poa kwa madadazetu ila mamen lazima ukae mtaani kama vp chek hapa 0783785439

Mbwembe tu hizo..may hata hazifanyi kazi just kuwatia tumbojoto hao wanafunzi..
 
sasa wakuu ushauri wa bure chuo kinafunguliwa tarehe 30 september xaxa kwa mm mpaka lini inanibid niwechuo ili nipate nafac ya chumba ndan ya hostel za chuo na vp ktk mageto watu wanakaaa wangap wangap msaad please
 
sasa wakuu kwa aliye chaguliwa makumira inabidi awasili chuoni lini ili aweze kupata nafac ktk hostel za chuo maana orientation course inaanza tarehe 30 september:disapointed:
 
USIHOFU,,HATA NGARASERO KUNA VYUMBA,,NI BUKU KUMI TU KWA MWEZI,,,NDATU NA BUGURUNI NI ANOTHER ALTERNATIVE,,,,,KALIBU SANA gpa NDO MPANGO MZIMA ,,,MPAKA TUBAKISHWE,,,NA LIKIZO TWASOMA TUTION HAHAHAHA(NAWAPUNGUZIA STRESS)
 
Back
Top Bottom