Bei uionayo sio utakayo lipia.Tanzania sasa niliingia alibaba wengi wanatuma sema rahisi sana hadi wanaogopesha
Iwapo item iko ebay (au site nyingine yeyote ile) na haitumwi Tanzaniabasi waweza wasiliana nami kufanikisha hayo manunuzinilipata japo bei ilichangamka sema wengi hawatumi Tanzania
Poa nitakutafuta unisaidieBei uionayo sio utakayo lipia.
Sababu
- Hawajaweka gharama ya kusafirishia
- Huwalenga wanunuzi wa jumla jumla ( japo waweza uziwa moja, njia ya usafirishaji ni express na gharama huwa juu, ukijumlisha manunuzi + kusafirisha, basi bei itazidi ile ya ebay au aliexpress.)
- Bei halisi (ununuzi wa bidhaa na kusafirisha ) utapewa baada ya kufanya mawasiliano na muuzaji.
Karibu www.bit.ly/101buy4me
Iwapo item iko ebay (au site nyingine yeyote ile) na haitumwi Tanzaniabasi waweza wasiliana nami kufanikisha hayo manunuzi
Jiandae kisaikolojia kuwa tayari umepita na wewe ni mmoja kati ya washindi, amini hivyo kuanzia sasa na itakuwa hivyo. Ondoa mawazo hasi kabisa kuanzia sasa.je ntaweza kupita kweli
Uwe flexible kutumia lugha yeyote itakayotumika. Jiamini na hakika utaona matokeo chanya.hoji kwa kiswahili au kiingereza sijui chochote
mzee na izo alama haztaniukumuJiandae kisaikolojia kuwa tayari umepita na wewe ni mmoja kati ya washindi, amini hivyo kuanzia sasa na itakuwa hivyo. Ondoa mawazo hasi kabisa kuanzia sasa.
Uwe flexible kutumia lugha yeyote itakayotumika. Jiamini na hakika utaona matokeo chanya.
Kia lakheri
Alama si kitu,mzee na izo alama haztaniukumu
Hiyo ni bei kwa wateja wa jumla kwanzia pisi 500Husika na kichwa hapo juu
Habari wakuu, kuna jambo linanitatiza sana kuhusu huu mtandao maana kuna simu nilikuwa nataka niliingia ebay kule nilipata japo bei ilichangamka sema wengi hawatumi Tanzania sasa niliingia alibaba wengi wanatuma sema rahisi sana hadi wanaogopesha sana aliyeshafanya biashara na huo mtandao anipe uzoefu na uimara na mapungufu yao