pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Husika na kichwa hapo juu
Habari wakuu, kuna jambo linanitatiza sana kuhusu huu mtandao maana kuna simu nilikuwa nataka niliingia ebay kule nilipata japo bei ilichangamka sema wengi hawatumi Tanzania sasa niliingia alibaba wengi wanatuma sema rahisi sana hadi wanaogopesha sana aliyeshafanya biashara na huo mtandao anipe uzoefu na uimara na mapungufu yao