J Joumar Member Joined Oct 29, 2015 Posts 48 Reaction score 45 Dec 30, 2016 #1 naomba kwa mwenye kujua ni ammendment ya mwaka gani ime ammend sheria ya vileo ya mwaka 1968 ambayo inaonesha umri wa kuuziwa kileo ni miaka 18. Sheria ya mwaka 1968 inaonesha ni miaka 16.
naomba kwa mwenye kujua ni ammendment ya mwaka gani ime ammend sheria ya vileo ya mwaka 1968 ambayo inaonesha umri wa kuuziwa kileo ni miaka 18. Sheria ya mwaka 1968 inaonesha ni miaka 16.