Msaada kuhusu marekebisho ya sheria ya vileo ya mwaka 1968

Msaada kuhusu marekebisho ya sheria ya vileo ya mwaka 1968

Joumar

Member
Joined
Oct 29, 2015
Posts
48
Reaction score
45
naomba kwa mwenye kujua ni ammendment ya mwaka gani ime ammend sheria ya vileo ya mwaka 1968 ambayo inaonesha umri wa kuuziwa kileo ni miaka 18. Sheria ya mwaka 1968 inaonesha ni miaka 16.
 
Back
Top Bottom