apprentice1997
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 107
- 99
Download app inaitwa jefit iko play storeHabari za jioni wakuu, Mimi ni kijana wa kiume Nina umri wa miaka 18, tatzo langu ni Kuwa Nina uzito pungufu na pia mwili Wangu ni mdogo kulinganisha na vijana wengine wa umri Wang. Nina kg 45 na urefu 160. Ninataka niweze kuongeza mwili wangu uzito, urefu na pia nguvu zangu za mwili ili nisiwe legelege kama nilivyo sasa hivi. Nilifikiri kuanza mazoezi ya gym kungenisaidia Ila bado sijaamua kuanza naombeni ushauri nifanye vipi niweze kuongeza uzito na mwili Wangu pamoja na kuongeza nguvu na stamina kwa njia yoyote ile. Na pia ushauri kuhusu vyakula na lifestyle nzima. Asante
U killed it Sir!!!!!Unaishi mjini au kijijini? Kama unaishi mjini utakuwa na utapiamlo kwa sababu vyakula ulivyolishwa tangu ukiwa mdogo. Mfano: maziwa ya kopo, ulivyoota meno ukalishwa sembe, ulivyokuwa MTU mzima ukaanza chips mayai ya kisasa n.k
Ushauri: nunua sahani yenye mashimo manne, andaa chakula ambapo shimo moja litakuwa na dona au mihogo au ugali wa ulezi/mtama/brown rice/ndizi; shimo la pili weka maharage/samaki/yai la kyenyeji/maziwa; shimo la tatu no mboga za majani, la NNE matunda. Vyote in kwa uwiano sawa kiuzito. Tahadhari: kutafuta uzito kwa lazima ni hatari kwa afya yako
Utauaaaaa mkuu!!! Dozi kubwa sana hii...Kula Ugali wa Sembe Nusu Kilo (0.5kg) na Harage Robo (1/4kg) na Gilasi 3 - 4 za Maji Kwa Mlo Mmoja tu Wa Mchana Kwa Muda Wa Siku 20.
Halafu tuletee Mrejesho Hapa.
Piga nondo,,sqwaty kwasana , msosi kwa wingi na matunda ,ugali Kula Dona,, mi nna body ya kibabe kwa mazoezi hayo, na pia ruka kamba kujenga wepesi
kilo 45 kwa umri gani??km ni zaidi ya 25 huyo no mgonjwa aanze kula kwa diet pia amuone drAjenge wepesi wa nini tena mkuu jamaa tayari ni uzito wa unyoya..ana kilo 45 tu
Kijana wa miaka 18 atamudu hizo gharama? Labda kama kwao mambo si haba.Unaishi mjini au kijijini? Kama unaishi mjini utakuwa na utapiamlo kwa sababu vyakula ulivyolishwa tangu ukiwa mdogo. Mfano: maziwa ya kopo, ulivyoota meno ukalishwa sembe, ulivyokuwa MTU mzima ukaanza chips mayai ya kisasa n.k
Ushauri: nunua sahani yenye mashimo manne, andaa chakula ambapo shimo moja litakuwa na dona au mihogo au ugali wa ulezi/mtama/brown rice/ndizi; shimo la pili weka maharage/samaki/yai la kyenyeji/maziwa; shimo la tatu no mboga za majani, la NNE matunda. Vyote in kwa uwiano sawa kiuzito. Tahadhari: kutafuta uzito kwa lazima ni hatari kwa afya yako
Kama ana mawazo ya kwenda 'jim' kuwekeza kwenye kujenga mwili ili awe na minyamana kifua natumaini atamudu kuwekeza kwenye lishe bora.Kijana wa miaka 18 atamudu hizo gharama? Labda kama kwao mambo si haba.
Squart ndio zoez gani hill?mm nakushaur usiende gym , coz gym inabd uwe unaenda kla cku yaan ukikaa mwez mmoja bla kwenda gym unarud tena katka hali yako ya mwanzo,, nliwah kuwa muhanga Wa tatzo km lako yaan nlkuwa mwembamba sana isitoshe mm ni mrefu ,, nlibahatka kukutana na mwalimu Wa karate kpnd anapoenda zoezn alikuwa ananivuta twende tena kwa lazma maana jamaa alinionea huruma kamwili kang jins kalivyokuwa,, tukaanza kupga pushup ye anapga pushup 100 ,mm nmepga 5 had 8 hapo mwl umechoka knoma, nlianza kuzoea mwili ukaanza kubadlka , badae akanifundisha zoez la squart kiukwel hili zoez ni nzur sana ukiwa na msos unaoeleweka utaona mabadlko baada ya siku 15 tu.. ni zoez nzur ukilifanya kwa nia unajaa vzur sana mpaka watu wanakuonea wivu,, saiz umbo langu LPO vzur sana mpaka nkienda kjjn wananiambia rud ulikotoka huku hakukufai kabisa,, jtahd ufanye hli zoez la squart usisahau chakula bora, km unaish mazngira ya joto km dar ,au karbu na maeneo ya ziwa utaona mabadlko haraka sana..
kilo 45 kwa umri gani??km ni zaidi ya 25 huyo no mgonjwa aanze kula kwa diet pia amuone dr