Msaada kuhusu mazoezi na mbinu za kujenga mwili kwa wanaume

Msaada kuhusu mazoezi na mbinu za kujenga mwili kwa wanaume

Squart ndio zoez gani hill?
atwok naomba nikosolewe kama nitakosea ni hivi,unachuchuma kama vile unakunya wakati huo mikono yako umeshikilia kichwa sasa unainuka,halafu unachuchuma hiki kitendo cha unachuchuma halafu unainuka ndio hiyo skwati,wakati unafanya zoezi hili unahesabu kwa mapigo yaani moja,mbili,tatu na kuendelea nyingine ni kuwa unachuchuma lakini miguu unaibana unainuka halafu unakaa.
 
Google andka squart utaona picha znajieleza,,,,, usipoelewa njoo tena huku
mr umesema kuna jamaa anapiga push up 100 naomba mwongozo na mimi nieleweshe je anapiga mfululizo bila pumziko au anapiga kumi kumi!asante
 
atwok naomba nikosolewe kama nitakosea ni hivi,unachuchuma kama vile unakunya wakati huo mikono yako umeshikilia kichwa sasa unainuka,halafu unachuchuma hiki kitendo cha unachuchuma halafu unainuka ndio hiyo skwati,wakati unafanya zoezi hili unahesabu kwa mapigo yaani moja,mbili,tatu na kuendelea nyingine ni kuwa unachuchuma lakini miguu unaibana unainuka halafu unakaa.
Aiseee si mchezo, nimepiga Leo hiyo skwati miguu siyo yangu hapa.
 
black hiyo ukizoea haitauma usisahau MAZOEZI NI UTUMWA WA KUJITAKIA mimi nipo mbalikidogo kufikia mwezi wa tisa nitakuwa napiga push up 40
Yap ntajitaidi kufikia mwezi ujao nizoee, we unapiga hivi hivi au una add weight?
 
Yap ntajitaidi kufikia mwezi ujao nizoee, we unapiga hivi hivi au una add weight?
mkuu mimi ni mchezaji wa daraja la chini yaani wa ndondo kwenye uzito sina tatizo pia usichague zoezi pia nakuomba ununue kamba ya kuruka,nunua ile yenye speed meter
 
duuh wautafta na uref??,, hpo ngja nfuatilie huu uzi... urefu wakuu
 
mm nakushaur usiende gym , coz gym inabd uwe unaenda kla cku yaan ukikaa mwez mmoja bla kwenda gym unarud tena katka hali yako ya mwanzo,, nliwah kuwa muhanga Wa tatzo km lako yaan nlkuwa mwembamba sana isitoshe mm ni mrefu ,, nlibahatka kukutana na mwalimu Wa karate kpnd anapoenda zoezn alikuwa ananivuta twende tena kwa lazma maana jamaa alinionea huruma kamwili kang jins kalivyokuwa,, tukaanza kupga pushup ye anapga pushup 100 ,mm nmepga 5 had 8 hapo mwl umechoka knoma, nlianza kuzoea mwili ukaanza kubadlka , badae akanifundisha zoez la squart kiukwel hili zoez ni nzur sana ukiwa na msos unaoeleweka utaona mabadlko baada ya siku 15 tu.. ni zoez nzur ukilifanya kwa nia unajaa vzur sana mpaka watu wanakuonea wivu,, saiz umbo langu LPO vzur sana mpaka nkienda kjjn wananiambia rud ulikotoka huku hakukufai kabisa,, jtahd ufanye hli zoez la squart usisahau chakula bora, km unaish mazngira ya joto km dar ,au karbu na maeneo ya ziwa utaona mabadlko haraka sana..
Muelekeze vizuri hilo zoezi namna linavyofanywa.
 
Back
Top Bottom