Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,080
Google andka squart utaona picha znajieleza,,,,, usipoelewa njoo tena hukuSquart ndio zoez gani hill?
atwok naomba nikosolewe kama nitakosea ni hivi,unachuchuma kama vile unakunya wakati huo mikono yako umeshikilia kichwa sasa unainuka,halafu unachuchuma hiki kitendo cha unachuchuma halafu unainuka ndio hiyo skwati,wakati unafanya zoezi hili unahesabu kwa mapigo yaani moja,mbili,tatu na kuendelea nyingine ni kuwa unachuchuma lakini miguu unaibana unainuka halafu unakaa.Squart ndio zoez gani hill?
mr umesema kuna jamaa anapiga push up 100 naomba mwongozo na mimi nieleweshe je anapiga mfululizo bila pumziko au anapiga kumi kumi!asanteGoogle andka squart utaona picha znajieleza,,,,, usipoelewa njoo tena huku
30+20+20+20+10mr umesema kuna jamaa anapiga push up 100 naomba mwongozo na mimi nieleweshe je anapiga mfululizo bila pumziko au anapiga kumi kumi!asante
Hahahha mkuu wana gharama haoo[emoji47] hii ni msosi au dawa!?? Yani nyie huwa hata siwaelewagi kwa kweli, mnauza dawa au chakula, kila kitu ni trevo, kwanza hii jina maana yake nini!??
Aiseee si mchezo, nimepiga Leo hiyo skwati miguu siyo yangu hapa.atwok naomba nikosolewe kama nitakosea ni hivi,unachuchuma kama vile unakunya wakati huo mikono yako umeshikilia kichwa sasa unainuka,halafu unachuchuma hiki kitendo cha unachuchuma halafu unainuka ndio hiyo skwati,wakati unafanya zoezi hili unahesabu kwa mapigo yaani moja,mbili,tatu na kuendelea nyingine ni kuwa unachuchuma lakini miguu unaibana unainuka halafu unakaa.
black hiyo ukizoea haitauma usisahau MAZOEZI NI UTUMWA WA KUJITAKIA mimi nipo mbalikidogo kufikia mwezi wa tisa nitakuwa napiga push up 40Aiseee si mchezo, nimepiga Leo hiyo skwati miguu siyo yangu hapa.
mpigo mmoja au combined?black hiyo ukizoea haitauma usisahau MAZOEZI NI UTUMWA WA KUJITAKIA mimi nipo mbalikidogo kufikia mwezi wa tisa nitakuwa napiga push up 40
basi tupe ushauri!!!Fitness IQ ya wabongo iko chini sana!
Yap ntajitaidi kufikia mwezi ujao nizoee, we unapiga hivi hivi au una add weight?black hiyo ukizoea haitauma usisahau MAZOEZI NI UTUMWA WA KUJITAKIA mimi nipo mbalikidogo kufikia mwezi wa tisa nitakuwa napiga push up 40
basi tupe ushauri!!!
mkuu ngabu mbona unakata tamaa mapema ukiwa hapa jf jitahidi kuwa ngangari wa jambo lolote endelea kutuelimishaSijui hata nianzie wapi maana watu wenyewe ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
mkuu mimi ni mchezaji wa daraja la chini yaani wa ndondo kwenye uzito sina tatizo pia usichague zoezi pia nakuomba ununue kamba ya kuruka,nunua ile yenye speed meterYap ntajitaidi kufikia mwezi ujao nizoee, we unapiga hivi hivi au una add weight?
1/2 kg???,,, duuhKula Ugali wa Sembe Nusu Kilo (0.5kg) na Harage Robo (1/4kg) na Gilasi 3 - 4 za Maji Kwa Mlo Mmoja tu Wa Mchana Kwa Muda Wa Siku 20.
Halafu tuletee Mrejesho Hapa.
Muelekeze vizuri hilo zoezi namna linavyofanywa.mm nakushaur usiende gym , coz gym inabd uwe unaenda kla cku yaan ukikaa mwez mmoja bla kwenda gym unarud tena katka hali yako ya mwanzo,, nliwah kuwa muhanga Wa tatzo km lako yaan nlkuwa mwembamba sana isitoshe mm ni mrefu ,, nlibahatka kukutana na mwalimu Wa karate kpnd anapoenda zoezn alikuwa ananivuta twende tena kwa lazma maana jamaa alinionea huruma kamwili kang jins kalivyokuwa,, tukaanza kupga pushup ye anapga pushup 100 ,mm nmepga 5 had 8 hapo mwl umechoka knoma, nlianza kuzoea mwili ukaanza kubadlka , badae akanifundisha zoez la squart kiukwel hili zoez ni nzur sana ukiwa na msos unaoeleweka utaona mabadlko baada ya siku 15 tu.. ni zoez nzur ukilifanya kwa nia unajaa vzur sana mpaka watu wanakuonea wivu,, saiz umbo langu LPO vzur sana mpaka nkienda kjjn wananiambia rud ulikotoka huku hakukufai kabisa,, jtahd ufanye hli zoez la squart usisahau chakula bora, km unaish mazngira ya joto km dar ,au karbu na maeneo ya ziwa utaona mabadlko haraka sana..