Msaada kuhusu mbegu za nyanya

ubarikiwe sana mkuu nimekuelewa nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Kuhusu f1 ni first filliar generation ziko nyingi sana cha muhimu tazama nini unataka je shamba lako lina magonjwa gani,wadudu gani,unataka uzao and etc ,so kwa kumention chache kuna monteazul(rijk zwaan),kipato(east west),victory(east west),tylka(syngenta),jarrah rz(rijk zwaan)
 
mkuu nitahitaji msaada wako mimi ni mgeni wa mambo hayo na ni kama ki bustani hivi cha robo heka je mbegu nzuri ni ipi ? kulikuwa na mazao mengine hapo kama migomba n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…