Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Kwa huku arusha eden f1 tunatoka nayo
4286fd74f64ad3094526502aa898efbc.jpg
 
Kwa huku arusha eden f1 tunatoka nayo
4286fd74f64ad3094526502aa898efbc.jpg
ni nzuri sana sasa mkuu ina maana kila nitakapo kuwa napanda lazima ninunue mbegu au ata baada ya kununua mara hii nitapata mbegu kupitia mazao nitakayo yapata?
 
Kwa huku arusha eden f1 tunatoka nayo
4286fd74f64ad3094526502aa898efbc.jpg
Nzuri sana kwakweli...
Karibu sana ,mimi niko sevia ni mradi wa kilimo feel free kuniconsult any time ndugu yangu
Mkuu na mimi nitahitaji sana msaada wako siku za usoni
Nzuri sana
Kwann watu hugarimika kuchukua mbegu maalum? Km hilo linawezekana? Unalosema nimewahi kujaribisha lakin mazao ni duni sana huku umegaramia kilimo na mengineyo. Nenda na uhakika mkuu chukua f1
Sasa mkuu ivi kama mtu ukigharamia ... Mbegu kila muda itakubidi uwe unanunua mbegu?
 
Kama ni F1 yaani Hybrid lazima kila msimu ununue sababu ukiirudia unaenda kwenye F2 sasa kwa waliosoma genetics kidogo wanafahamu ,ukiwa kwenye F2 utapata wachache wenye sifa za parents ila wengine watakua na sifa zilizojificha (zisizotakiwa) kama vile kutovumilia magonjwa ,kutoa mavuno kidogo,kua na nyanya ndogo etc hivyo kama unanunua F1 ya zao lolote jua kwa ubora wa mavuno usirudie mbegu ila kama unacheza bahati nasibu rudia .
Tazama jarrah f1 hiz sifa zake ,ukiirudie mbegu hizo sifa zinaondoka
 
nimekuelewa mkuu...uzidi kubarikiwa
 
ni nzuri sana sasa mkuu ina maana kila nitakapo kuwa napanda lazima ninunue mbegu au ata baada ya kununua mara hii nitapata mbegu kupitia mazao nitakayo yapata?
Uzuri wa kununua f1 ni kuwa pale utakapotunza mmea wako itarudisha fadhila kwa hakika. Mwaka jana mwezi wa 7 nilinunua mbegu pakiti ndogo grm 10 kwa sh 80,000/ nikaja kupanda miche km elfu na mia mbili kwenye eneo Dogo tu la majaribio na miche zilizobaki niligawia watu. Nilioweza nikatunza vizuri hadi September nikaanza kuvuna hadi October nikaweka rekodi, miche 1200 ilitoa tenga 201 wakati huo bei ilicheza kati ya 30000 na 35000 elfu. Tuseme 30000×201= nilipata sh milion 6 kasoro hivi kesh mkononi. Ukitoa gharama km sh laki 6 na nusu... Nyanya we ukiwa mgumu kuitunza na yenyewe inakuwa ngumu kuzaa. Kwa hiyo tunaposema nunua mbegu bora chotara maanke uwe na hakika na unachofanya. Nyanya itakurdishia mara 4 garama zako ilimradi ufuate kanuni zake, mbegu bora, matunzo na usimamizi.
 
asante mkuu...unanipa munkari wa kuanza haraka harakati hizi za kilimo chanyanya... kwa eneo linalo karibia robo lakini si robo tuseme hatua 12 kwa 18 panaweza pakachukua miche mingapi kwa kukadiria...mkuu
 
Nunua tu pakiti moja grm 10 inatosha kwa eneo hilo
 
poa mkuu....je bora mbegu...ama ninunue...tuuu miche...? maana nimefanya mawasiriano na wauzaji wa mbegu wameniambia kuwa ata miche wanauza....
 
Tatizo sio rahisi ugundue miche za f1 unazohitaji. Mtu anaweza kuambia hii ni eden f1 kumbe ni zile mbegu za buku tatu, unaenda kupanda unakutana na zao duni huku umegaramia kila kitu. Kununua mbegu zako bado suluhisho tosha
 
utagunduaje mbegu zenyewe na feki?
 
utagunduaje mbegu zenyewe na feki?
Wakati imeoteshwa na mtu mwingine afu wewe unaambiwa hizi ni f1, sio rahisi ugundue. Dawa pekee nunua mbegu zako panda mwenyewe, tunza mwenyewe na usihe mwenyewe. Bado hujachelewa ukipanda mwezi huu mwezi wa 7 unaanza kuvuna. Na bei mara nyingi huporomoka mwezi wa nane - 10
 
Mkuu kwa kuziangalia unaweza kugundua mbegu feki....? Au tofauti ya mbegu feki na mbegu original ni ipi...?
 
hivi hii mimea ya nyanya inayokuwa na pre- za "semi" urefu wake zinafika futi ngapi?

matunzo yake yakoje, unapunguza suckers?
bado sijawa mtaalam mkuu nadhani jibu lako limekosekana
 
Back
Top Bottom