X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #61
Kuhusu kukauka kiuno huo ni ugonjwa kuna wadudu wapo mashambani ndio wanaofanya hiyi kazi hasa kwenye mashamba ambayo yaliwahi kupandwa mazao mengine muda mfupi kabla ya kupanda nyanya.Jomba kama unaweza kwenda sokoni nenda kachague nyanya mshumaa zilizoiva vizuri kisha toa mbegu zikaushe na usie mwenyewe nilikua nanunua mbegu lkn aina ya mbegu ni tofauti na iliyoandikwa kwa packet na zakununua madukani nyingi zinaota kabla hujaamisha znakauka kiuno tengeneza mbegu peke yako znaota vizuri tuu ukipata nyanya nzuri