Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Belt sio nzuri sana kwa leaf minor mkuu ,apige dawa yenye abamectin kama biotrine,dynamec etc
Mimi kwa career ya horticulture,namuua leaf miner kwa belt mkuu,ila abamectin families nazitumia sana pia lakini kwa redmites wanaita utitiri,labda upo sahihi pia kwa experience yako mkuu
 
Mimi kwa career ya horticulture,namuua leaf miner kwa belt mkuu,ila abamectin families nazitumia sana pia lakini kwa redmites wanaita utitiri,labda upo sahihi pia kwa experience yako mkuu
Belt ni dawa nzuri sana ila kwa leaf minor kiuatilifu chenye abamectin kinafanya poa zaidi ,belt bhana kiboko ya tuta (lava stage) na dbm kwenye cabbage ,hata evisect inaua leaf miner ila bado haifikii nguvu ya abamectin (kiuatilifu) mkuu ,dawa inayolenga mdudu direct always ni best kama kuatilifu cha abamectin ni special kwa leaf miner na red spider pekee
 
Mimi kwa career ya horticulture,namuua leaf miner kwa belt mkuu,ila abamectin families nazitumia sana pia lakini kwa redmites wanaita utitiri,labda upo sahihi pia kwa experience yako mkuu

Cheki instructions mkuu mfano kwa hii abamectin based pesticide ya syngenta
 
Shukrani,ndo maana nimesema,huwa experience angu,natumia belt,so just thanks up ,yo gave me better way to sort out this thang,shukrani
 
Sasa ndugu zangu nisaidieni...vitumba vya maua kwenye miche ya nyanya baadhi vinakauka...sijajua tatizo ni nini...naombeni ushauri yani katika vitumba vinne kimoja lazima utakuta kimekauka... sijui nimekosea kitu gani hadi vitumba vinakauka
 
Kwa matumizi ya booster ni ukosefu wa mbolea huo
 
Can sijaweka...ila ninayo booster hiyo hapo
Hii booster N nib12% ya kg1 moja means ni 12/100*1= 0.12kg of N
Urea mfuko wa kg 50 ni 46%N hivyo ni 46/100*50=23kg of N

Yaani huo uwiano wa nutrients ukitazama tu ni kifo na usingizi ,na nyanya tonne moja mpaka uitoa ukiachana na kiasi kinachopotea na kinachokaa kwenye mmea matunda pekee inakua na kg4 za N .
 
Sasa ndugu hiyo booster haifai...¿...au nifanyeje kunusuru vitumba visiende kwa kukauka...
 
hapo nimekuta mmea umeishiwa nguvu kabisa....kuushika shina nimelikuta limeoza...dah....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…