griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
Huyu mdudu anaitwa chorachora lugha ya wakulima wengi,kitaalam huitwa leaf miner,tumia dawa inaitwa belt mkuu,tatizo kwishaHilo jani litakuwa limepitiwa na kitu gani...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mdudu anaitwa chorachora lugha ya wakulima wengi,kitaalam huitwa leaf miner,tumia dawa inaitwa belt mkuu,tatizo kwishaHilo jani litakuwa limepitiwa na kitu gani...?
Belt sio nzuri sana kwa leaf minor mkuu ,apige dawa yenye abamectin kama biotrine,dynamec etcHuyu mdudu anaitwa chorachora lugha ya wakulima wengi,kitaalam huitwa leaf miner,tumia dawa inaitwa belt mkuu,tatizo kwisha
Huyu anakula magnesium iliyopo kwenye chlorophyl za majani,samahani cjui nimeeleweka_,,lugha sahihi mkuu nimeshindwaAsante sana mkuu sasa huyo mdudu kavutiwa na nini...au ni lazima tu angekuja?
Mimi kwa career ya horticulture,namuua leaf miner kwa belt mkuu,ila abamectin families nazitumia sana pia lakini kwa redmites wanaita utitiri,labda upo sahihi pia kwa experience yako mkuuBelt sio nzuri sana kwa leaf minor mkuu ,apige dawa yenye abamectin kama biotrine,dynamec etc
Belt ni dawa nzuri sana ila kwa leaf minor kiuatilifu chenye abamectin kinafanya poa zaidi ,belt bhana kiboko ya tuta (lava stage) na dbm kwenye cabbage ,hata evisect inaua leaf miner ila bado haifikii nguvu ya abamectin (kiuatilifu) mkuu ,dawa inayolenga mdudu direct always ni best kama kuatilifu cha abamectin ni special kwa leaf miner na red spider pekeeMimi kwa career ya horticulture,namuua leaf miner kwa belt mkuu,ila abamectin families nazitumia sana pia lakini kwa redmites wanaita utitiri,labda upo sahihi pia kwa experience yako mkuu
Mimi kwa career ya horticulture,namuua leaf miner kwa belt mkuu,ila abamectin families nazitumia sana pia lakini kwa redmites wanaita utitiri,labda upo sahihi pia kwa experience yako mkuu
Shukrani,ndo maana nimesema,huwa experience angu,natumia belt,so just thanks up ,yo gave me better way to sort out this thang,shukraniBelt ni dawa nzuri sana ila kwa leaf minor kiuatilifu chenye abamectin kinafanya poa zaidi ,belt bhana kiboko ya tuta (lava stage) na dbm kwenye cabbage ,hata evisect inaua leaf minor ila bado haifikii nguvu ya abamectin (kiuatilifu) mkuu ,dawa inayolenga mdudu direct always ni best kama kuatilifu cha abamectin ni special kwa leaf minor na red spider pekee
Yap tunashirikiana ndugu yangu ,worry out mkuuShukrani,ndo maana nimesema,huwa experience angu,natumia belt,so just thanks up ,yo gave me better way to sort out this thang,shukrani
GreatYap tunashirikiana ndugu yangu ,worry out mkuu
Can sijaweka...ila ninayo boosterSion vyema ila umewahi kuweka can au kupiga booster yenye calcium
Sasa ndugu zangu nisaidieni...vitumba vya maua kwenye miche ya nyanya baadhi vinakauka...sijajua tatizo ni nini...naombeni ushauri yani katika vitumba vinne kimoja lazima utakuta kimekauka...Great
Yaani uko dar then unahangaika kupata mbegu?mkuu nipo dar-es-salaam huku ni joto sana....sijui hapo itakuwaje...
Nyanya ndefu au fupi ? Sion umbali vyema ila spacing ya nyanya ni sm50 mche hadi mche na sm 75 mstar hadi mstarimkuu upandaji huu wanyanya nisahihi![]()
Kwa matumizi ya booster ni ukosefu wa mbolea huoSasa ndugu zangu nisaidieni...vitumba vya maua kwenye miche ya nyanya baadhi vinakauka...sijajua tatizo ni nini...naombeni ushauri yani katika vitumba vinne kimoja lazima utakuta kimekauka...sijui nimekosea kitu gani hadi vitumba vinakauka![]()
Hii booster N nib12% ya kg1 moja means ni 12/100*1= 0.12kg of NCan sijaweka...ila ninayo boosterhiyo hapo![]()
Fupi mkuuNyanya ndefu au fupi ? Sion umbali vyema ila spacing ya nyanya ni sm50 mche hadi mche na sm 75 mstar hadi mstari
Sasa ndugu hiyo booster haifai...¿...au nifanyeje kunusuru vitumba visiende kwa kukauka...Hii booster N nib12% ya kg1 moja means ni 12/100*1= 0.12kg of N
Urea mfuko wa kg 50 ni 46%N hivyo ni 46/100*50=23kg of N
Yaani huo uwiano wa nutrients ukitazama tu ni kifo na usingizi ,na nyanya tonne moja mpaka uitoa ukiachana na kiasi kinachopotea na kinachokaa kwenye mmea matunda pekee inakua na kg4 za N .
Booster gani itafaa nduguKwa matumizi ya booster ni ukosefu wa mbolea huo