TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
- Thread starter
- #21
Wadau, namshukuru Muumba wa mbingu na dunia kuwa nilitumia maelekezo yenu pamoja na ya hospital mpaka sasa nina afadhali, ila kitunguu swaumu na tangawizi inaivisha haraka na kupasuka chenyewe, japo maumivu asikwambie mtu daa!!
Aisatu Kumbo El Capitanol
Aisatu Diva Beyonce bryan2 bikira latifah merengo90 na wote mliotoa comments za advice...
Thanks
Aisatu Kumbo El Capitanol
Aisatu Diva Beyonce bryan2 bikira latifah merengo90 na wote mliotoa comments za advice...
Thanks