TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Nov 15, 2016 Thread starter #21 Wadau, namshukuru Muumba wa mbingu na dunia kuwa nilitumia maelekezo yenu pamoja na ya hospital mpaka sasa nina afadhali, ila kitunguu swaumu na tangawizi inaivisha haraka na kupasuka chenyewe, japo maumivu asikwambie mtu daa!! Aisatu Kumbo El Capitanol Aisatu Diva Beyonce bryan2 bikira latifah merengo90 na wote mliotoa comments za advice... Thanks
Wadau, namshukuru Muumba wa mbingu na dunia kuwa nilitumia maelekezo yenu pamoja na ya hospital mpaka sasa nina afadhali, ila kitunguu swaumu na tangawizi inaivisha haraka na kupasuka chenyewe, japo maumivu asikwambie mtu daa!! Aisatu Kumbo El Capitanol Aisatu Diva Beyonce bryan2 bikira latifah merengo90 na wote mliotoa comments za advice... Thanks