MGASON
Member
- Nov 19, 2011
- 65
- 35
Wadau mimi mshahara wagu total ni 650,000 ukiondoa makto take home ni 540,000.naitaji kampuni yetu ipitishie mishahara yetu benki ya crdb au kcb ili turuhusiwe kuchukua mikopo, hivyo naomba mwenye ufahamu anijuze kwa mshahara huo nikikopa milioni 10.
Nitaweza katwa sh ngapi na nitabaki na nini take home?then ni benki gani unaweza kunishauri yenye unafuu hapa dar? hatujaanza kupitishiwa mishahara benki but tumeambiwa tuamue ni benki gani then mwajiri wetu apitishie huko mishahara yetu.
Ushauri plz wadau.