Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubinafsi wewe,,Toa maelekezo
subiri wiki 2 ununue tester utapata majibu mazuri raha upate wewe calculation wafanye wengine
naomba kujuzwa kuhusu hilo,,Nina mpenzi wangu yeye anaanza period tare 29 na kumaliza siku 4 mbele,,Sasa jana tumefanya kavu (tare 18 ya jana)..Je kuna uwezekano wa kushika mimba?..Naombe sana wa elimu kuhusu hilo
DZUDZUKU siku ya 11 tangu lini? Yani unahesabu kuanzia lini (trh ngapi ) ili kuipata hiyo siku ya 11 unayosema ikifika aache kupiga kavu? Msaada tafadhari... natanguliza shukrani zangu kwakoKama hauna uhakika tafuta "morning pills"
Ila kwa mtazamo wangu endelea kupiga kavu tu mpaka mzunguko ujao, ikifika siku ya 11 acha kupiga kavu piga mbichi.
Siku huwa zinaanza kuhesabiwa siku ya kwanza kabisa kuanza hedhi.DZUDZUKU siku ya 11 tangu lini? Yani unahesabu kuanzia lini (trh ngapi ) ili kuipata hiyo siku ya 11 unayosema ikifika aache kupiga kavu? Msaada tafadhari... natanguliza shukrani zangu kwako
Asante sana ndg kwa elimu yako uliyonishirikisha bureeeee.... ubarikiwe sanaSiku huwa zinaanza kuhesabiwa siku ya kwanza kabisa kuanza hedhi.
Siku ya 11mpaka 17-18 ni siku ambazo mwanamke anaweza kupata mimba.
19-kuendelea ni safe mpaka atakapo anza hedhi tena.
Kipindi cha hedhi hakina mimba,ila huwa hatufanyi kuepuka uchafu na urahisi wa kusambaa kwa magonjwa.
Pia hatufanyi kwa sababu kwa wanawake ambao bado hawajazaa,huwa wanapata maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.
Ukibanwa sana,fanya tu,ila tumia kondom.
Your welcome my friend.Asante sana ndg kwa elimu yako uliyonishirikisha bureeeee.... ubarikiwe sana