Msaada kuhusu mimba

Msaada kuhusu mimba

ISACOM

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
546
Reaction score
413
naomba kujuzwa kuhusu hilo,,Nina mpenzi wangu yeye anaanza period tare 29 na kumaliza siku 4 mbele,,Sasa jana tumefanya kavu (tare 18 ya jana)..Je kuna uwezekano wa kushika mimba?..Naombe sana wa elimu kuhusu hilo
 
ngojea aje Zinduna anacho kipimo cha hivyo atakupa majibu tu...
 
Last edited by a moderator:
Ujauzito ni siku 7 mpk 14 baada ya kuanza period..piga hesabu mwenyewe..
 
Kwa kalenda ya kawaida km alianza period trh 29 ina maana trh 18 hakuwa kwenye siku za kupata mimba.

Km siku zake hazijibadilibadili
 
kama ana mzinguko wa siku 28 hawezi kushika mimba.
kwani hamtaki mtoto?
au mlikuwa mnataka starehe tu?
 
Kama hauna uhakika tafuta "morning pills"

Ila kwa mtazamo wangu endelea kupiga kavu tu mpaka mzunguko ujao, ikifika siku ya 11 acha kupiga kavu piga mbichi.
 
naomba kujuzwa kuhusu hilo,,Nina mpenzi wangu yeye anaanza period tare 29 na kumaliza siku 4 mbele,,Sasa jana tumefanya kavu (tare 18 ya jana)..Je kuna uwezekano wa kushika mimba?..Naombe sana wa elimu kuhusu hilo

Mimba ishaingia hiyo.andaa milioni ya kumpokea mtoto.
 
Kama hauna uhakika tafuta "morning pills"

Ila kwa mtazamo wangu endelea kupiga kavu tu mpaka mzunguko ujao, ikifika siku ya 11 acha kupiga kavu piga mbichi.
DZUDZUKU siku ya 11 tangu lini? Yani unahesabu kuanzia lini (trh ngapi ) ili kuipata hiyo siku ya 11 unayosema ikifika aache kupiga kavu? Msaada tafadhari... natanguliza shukrani zangu kwako
 
Siku huwa zinaanza kuhesabiwa siku ya kwanza kabisa kuanza hedhi.

Siku ya 11mpaka 17-18 ni siku ambazo mwanamke anaweza kupata mimba.

19-kuendelea ni safe mpaka atakapo anza hedhi tena.

Kipindi cha hedhi hakina mimba,ila huwa hatufanyi kuepuka uchafu na urahisi wa kusambaa kwa magonjwa.

Pia hatufanyi kwa sababu kwa wanawake ambao bado hawajazaa,huwa wanapata maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.

Ukibanwa sana,fanya tu,ila tumia kondom.
 
Asante sana ndg kwa elimu yako uliyonishirikisha bureeeee.... ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom