Omarion emmyriano
Member
- Sep 7, 2018
- 94
- 30
Kwa ushauri wa masuala ya kisheria wasiliana nasi Fulgent legal consultants, utajibiwa maswali yako yote.karibu 0769 524 022.Gharama yetu ni tsh 20,000 tu.Habarini umu ndani, nimatumaini yangu muwazima wa afya.
Naomba nijuzwe je ikiwa marehemu ameacha watoto wawili na baada ya msiba ikafahamika alikuwaga na mtoto mwengne alieza nje ya ndoa, je mtoto uyo wa nje ya ndoa ataesabika katika kurithi?
Imekuja accidentially mkuuMarehemu aliwahi kumtambulisha kwa familia au ndugu na wakafahamiana au imekuja tu accidentaly baada ya kifo?
Kujitangaza kumekaaje kimaadili ha kazi ya sheria?Kwa ushauri wa masuala ya kisheria wasiliana nasi Fulgent legal consultants, utajibiwa maswali yako yote.karibu 0769 524 022.Gharama yetu ni tsh 20,000 tu.