Msaada kuhusu mirathi

Msaada kuhusu mirathi

Joined
Sep 7, 2018
Posts
94
Reaction score
30
Habarini umu ndani, nimatumaini yangu muwazima wa afya.
Naomba nijuzwe je ikiwa marehemu ameacha watoto wawili na baada ya msiba ikafahamika alikuwaga na mtoto mwengne alieza nje ya ndoa, je mtoto uyo wa nje ya ndoa ataesabika katika kurithi?
 
Marehemu aliwahi kumtambulisha kwa familia au ndugu na wakafahamiana au imekuja tu accidentaly baada ya kifo?
 
uyo ni damu yenu ila mnaweza mpa ata asimilia 5 ya mali kuliko kuacha kumpa na kumtenga
-kisheria uyo atambuliki kabsa ata angekua ametambulishwa wanao rithi ni watu wa familia tu ila fanyeni kiundugu tu msifike mbali
 
Atarithi kama wengine endapo anatambulika kwa ndugu
 
Habarini umu ndani, nimatumaini yangu muwazima wa afya.
Naomba nijuzwe je ikiwa marehemu ameacha watoto wawili na baada ya msiba ikafahamika alikuwaga na mtoto mwengne alieza nje ya ndoa, je mtoto uyo wa nje ya ndoa ataesabika katika kurithi?
Kwa ushauri wa masuala ya kisheria wasiliana nasi Fulgent legal consultants, utajibiwa maswali yako yote.karibu 0769 524 022.Gharama yetu ni tsh 20,000 tu.
 
Kwa ushauri wa masuala ya kisheria wasiliana nasi Fulgent legal consultants, utajibiwa maswali yako yote.karibu 0769 524 022.Gharama yetu ni tsh 20,000 tu.
Kujitangaza kumekaaje kimaadili ha kazi ya sheria?
 
Back
Top Bottom