Mkanganyiko
Member
- Feb 3, 2014
- 34
- 11
Habari zenu wakuu...Naomba kupata msaada na ushauri kuhusu miti ya mbao kama inaweza kukua vizuri bila tatizo kwa mikoa ya Pwani na Dsm. Ninauliza.hivyo kwasbb udongo wa mikoa ya pwani si sawa na ule wa Mafinga-Iringa ambako miti ya mbao inashamiri na kutoa mazao bora. Naomba msaada wataalam wa udongo, nataka kupanda miti ya mbao mkuranga sasa nahofia udongo wa pwani unaweza kuwa hau support mazao haya. THANKS IN ADVANCE