Msaada kuhusu miti ya mbao

Msaada kuhusu miti ya mbao

Mkanganyiko

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
34
Reaction score
11
Habari zenu wakuu...Naomba kupata msaada na ushauri kuhusu miti ya mbao kama inaweza kukua vizuri bila tatizo kwa mikoa ya Pwani na Dsm. Ninauliza.hivyo kwasbb udongo wa mikoa ya pwani si sawa na ule wa Mafinga-Iringa ambako miti ya mbao inashamiri na kutoa mazao bora. Naomba msaada wataalam wa udongo, nataka kupanda miti ya mbao mkuranga sasa nahofia udongo wa pwani unaweza kuwa hau support mazao haya. THANKS IN ADVANCE
 
Mti ya mbao inayo toa mbao laini ( soft wood ) hasa jamii ya conifers eg Pinu robiata, na Pinus pilosa, na hata cyprus trees - Casualina montana. Miti hii inasitawi inakua haraka sana sehemu za baridi kali kwahiyo kufanana kwa udongo sio factor, factor ni climatical condition. Ninakushauri upande miti aina ya teak ndio inayo stawi vizuri sehemu za joto sababu teaks ni decidius trees sio Coniferous. I BEG TO SUBMIT
 
Asante sana mkuu kwa maelezo mazuri. Kwahyo I had no another option lazima nipande mitik..vp kuhusu ile inayoitwa griveria (cna uhakika na hilo jina) inaweza kukuwa kti mazingira haya??
 
grivelia ina weza kukua lakini pia ni miti inayo stawi sehemu za baridi ila muundo wa majani yake ni Deciduous ambayo inastahili joto pia ila ubora wa mbao sio kama mitiki nilikushauri kupanda mitiki kwa sababu mbao zake zina masoko hata nje na kwa bei ya dollars
 
Mkuu Qualifier.
Hiyo miti ya mitiki inaweza kuota kwenye sehemu ya baridi kama iringa?
 
Mkuu MD25 mitiki haiwezi kustahimili baridi kali kama la iringa, kama alivyoshauri mdau hapo juu, teak tress are decidious so inastawi kwa uzuri kama itapandwa mikoa mitatu ifuatayo; Morogoro, Pwani na Tanga.
 
Last edited by a moderator:
Naomba niongezee kijinyama kidogo kwa mkuu Mkanganyiko juu ya upatikanaji na uhitaji wa mbegu za mitiki zenye ubora wa hali ya juu kabisa usisite kunitafta mkuu. Nina uwezo wa kukuandalia volume yoyote utakayohitaji kwa gharama ndogo kabisa.
 
Mi nahitaji mbengu ya mitiki
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa mliotoa Maelezo na majibu ya Yale tuliyoomba kuelewa.
Lkn naomba kujua zaidi kuhusu mitiki maana nami nina ekari 10 buyuni Vigwaza na nilikuwa natamani nipande mitiki km hali inaruhusu maeneo hayo
 
Naomba niongezee kijinyama kidogo kwa mkuu Mkanganyiko juu ya upatikanaji na uhitaji wa mbegu za mitiki zenye ubora wa hali ya juu kabisa usisite kunitafta mkuu. Nina uwezo wa kukuandalia volume yoyote utakayohitaji kwa gharama ndogo kabisa.

mi ni muhitaji. ntakupataje
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa mliotoa Maelezo na majibu ya Yale tuliyoomba kuelewa.
Lkn naomba kujua zaidi kuhusu mitiki maana nami nina ekari 10 buyuni Vigwaza na nilikuwa natamani nipande mitiki km hali inaruhusu maeneo hayo

Inaruhusu mkuu ila ardhi isiwe na udongo wa kichanga sana.
Panda mitiki mkuu pesa yake ni nzuri na inakua haraka.
 
Back
Top Bottom