Mkanganyiko
Member
- Feb 3, 2014
- 34
- 11
Mti ya mbao inayo toa mbao laini ( soft wood ) hasa jamii ya conifers eg Pinu robiata, na Pinus pilosa, na hata cyprus trees - Casualina montana. Miti hii inasitawi inakua haraka sana sehemu za baridi kali kwahiyo kufanana kwa udongo sio factor, factor ni climatical condition. Ninakushauri upande miti aina ya teak ndio inayo stawi vizuri sehemu za joto sababu teaks ni decidius trees sio Coniferous. I BEG TO SUBMIT
Asante sana mkuu kwa maelezo mazuri. Kwahyo I had no another option lazima nipande mitik..vp kuhusu ile inayoitwa griveria (cna uhakika na hilo jina) inaweza kukuwa kti mazingira haya??

grivelia ina weza kukua lakini pia ni miti inayo stawi sehemu za baridi ila muundo wa majani yake ni Deciduous ambayo inastahili joto pia ila ubora wa mbao sio kama mitiki nilikushauri kupanda mitiki kwa sababu mbao zake zina masoko hata nje na kwa bei ya dollars
Mkuu Qualifier.
Hiyo miti ya mitiki inaweza kuota kwenye sehemu ya baridi kama iringa?
Mi nahitaji mbengu ya mitikiNaomba niongezee kijinyama kidogo kwa mkuu Mkanganyiko juu ya upatikanaji na uhitaji wa mbegu za mitiki zenye ubora wa hali ya juu kabisa usisite kunitafta mkuu. Nina uwezo wa kukuandalia volume yoyote utakayohitaji kwa gharama ndogo kabisa.
Mi nahitaji mbengu ya mitiki
Naomba niongezee kijinyama kidogo kwa mkuu Mkanganyiko juu ya upatikanaji na uhitaji wa mbegu za mitiki zenye ubora wa hali ya juu kabisa usisite kunitafta mkuu. Nina uwezo wa kukuandalia volume yoyote utakayohitaji kwa gharama ndogo kabisa.
Nashukuru kwa mliotoa Maelezo na majibu ya Yale tuliyoomba kuelewa.
Lkn naomba kujua zaidi kuhusu mitiki maana nami nina ekari 10 buyuni Vigwaza na nilikuwa natamani nipande mitiki km hali inaruhusu maeneo hayo
mi ni muhitaji. ntakupataje