Msaada kuhusu Mkopa

Msaada kuhusu Mkopa

mbegubora29

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
513
Reaction score
338
Salamu wandugu,

Naomba kuuliza hawa Mkopa ni wa kweli au kama waongo tu wanasema wanafanya biashara ya kukopesha bidhaa basi wakanilainisha nikakubaliana nao lakini naona kama wana dalili ya utapeli.

Mwenye ufahamu nalo naomba mnifahamishe ndugu zanguni.
 
Back
Top Bottom