Msaada kuhusu mkopo Bank ya Standard Charted

iMad

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,833
Reaction score
743
Watalamu wa mambo ya fedha na mikopo ya bank...naomba kujuzwa kama mtu umekopa bank ukawa unakatwa kwenye mshahara na ukawa umedhaminiwa na mwajiri wako, na wafanyakazi wenzako bila kuweka aset yoyote kama nyumba au kiwanja..ukapata safari ya kwenda nje ya nchi, ukaondoka bila kumaliza deni..ni hatua gani bank inaweza kuchukua ili iweze kurudisha mkopo wao.?
NB. Mkopo ulikuwa na insurance
 
Mkuu hii inatakiwa uipeleke jukwaa la sheria ambako utapatiwa ushauri wa kisheria.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jambo la kwanza, ni jukumu lako kuhakikisha unalipa huo mkopo.
Pili, mwajiri kazi yake ni kuwataarifu benki kwamba haupo nao tena.
Baada ya hapo mambo ya kisheria yataanza kuchukua mkondo wake.

Mbona unataja mambo ya wadhamini na insurance, unataka usilipe mkopo?
Kama tatizo ni kwenda nje, ulitakiwa/unatakiwa uwataarifu benki yako.
 
.... you are really a good Samaritan
 
Last edited by a moderator:
Nenda Benki ukaongee nao. Sio busara kuondoka bila kuwa na maongezi nao. Watakupa mwongozo. Angalia upande wa pili kama utaondoka bila kuwataarifu ama kumaliza Mkopo wako, Dunia sasa hivi ni Kijiji, wanaweza kukuharibia sifa yako kwa kupitia Matangazo Mitandaoni na kwenye Vyombo vya Habari kuwa wewe ni mwizi, umetoroka na fedha zao. Fikiria Ndugu, Jamaa, marafiki na Wapenzi wako (waliopo na waliopita) wakiona picha yako katika Magazeti kuwa unatafutwa na Vyombo vya Usalama na Sheria kama Mhalifu.

Sina hakika Bima ya Mkopo inafanya nini zaidi ya kulipa Salio la Mkopo endapo Mkopaji atafariki au atakuwa "incapable" kulipa Mkopo na ikathibitishwa hivyo.

Umeshauriwa!
 
.... you are really a good Samaritan

Nashukuru japo hili suala halihitaji usamaria.

Unajua wakati mwingine tunajisahau. Unaweza ukaona kama unawakomoa benki lakini nimekufunza kuna faida sana kuwa na mahusiano mazuri na benki yako.

1. Benki nyingi kama sio zote, wanaweza kukuongezea mkopo hata kama haujamaliza ule uliochukua awali (top up)
Kama ulipaji wako una walakini unakosa hiyo fursa.

2. Siku hizi kuna makampuni yanayokusanya taarifa za watu wasiolipa madeni (defaulters), iko siku unaweza kuamua kwenda kuchukua mkopo benki nyingine unakumbana na kikwazo kwamba haukopesheki kwa sababu sio mlipaji mzuri na una shida.

Kwa uchache ni hayo tu mkuu.
 
Jambo la kwanza, ni jukumu lako kuhakikisha unalipa huo mkopo.
Pili, mwajiri kazi yake ni kuwataarifu benki kwamba haupo nao tena.
Baada ya hapo mambo ya kisheria yataanza kuchukua mkondo wake.

Mbona unataja mambo ya wadhamini na insurance, unataka usilipe mkopo?
Kama tatizo ni kwenda nje, ulitakiwa/unatakiwa uwataarifu benki yako.
Nashukuru mkuu..siwezi kukimbia kulipa mkopo..ila kutokana na mazingira ya sasa hivi inakuwa ngumu kidogo na nlishawatarifu..ila kinachosumbua ni kwamba nikiongea nao tunaelewana nikikaa mwezi mmoja ikifika zile tarehe za kurudisha wananisumbua..!? na wananiambia watachukua hatua sasa kwenye situation kama hii ni hatua gani watachukua..?! Maana sijawaficha kwamba kwa sasa hivi hali ilivyo siwezi nikaendelea kulipa labda baada ya mwaka..
cc: samaritan
 
Mkuu hii inatakiwa uipeleke jukwaa la sheria ambako utapatiwa ushauri wa kisheria.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nashukuru kaka kwa ushauri
 
Nenda Benki ukaongee nao. Sio busara kuondoka bila kuwa na maongezi nao. Watakupa mwongozo. Angalia upande wa pili kama utaondoka bila kuwataarifu ama kumaliza Mkopo wako, Dunia sasa hivi ni Kijiji, wanaweza kukuharibia sifa yako kwa kupitia Matangazo Mitandaoni na kwenye Vyombo vya Habari kuwa wewe ni mwizi, umetoroka na fedha zao. Fikiria Ndugu, Jamaa, marafiki na Wapenzi wako (waliopo na waliopita) wakiona picha yako katika Magazeti kuwa unatafutwa na Vyombo vya Usalama na Sheria kama Mhalifu.

Sina hakika Bima ya Mkopo inafanya nini zaidi ya kulipa Salio la Mkopo endapo Mkopaji atafariki au atakuwa "incapable" kulipa Mkopo na ikathibitishwa hivyo.

Umeshauriwa!
Nashukuru sana kwa ushauri japo nlishaongea nao na nawasiliana nao..na nmewaeleza sina nia ya kukimbia ila kwa sasa inakuwa ngumu kidogo kulipa nikiweka mambo sawa ntaendelea kulipa..lkn naona kama tukiongea mambo yanaenda sawa ila nkikaa kidogo wanasumbua tena.. imebidi mpaka nijiulize kwani mtu ukikopa ukiwa kampuni binafisi ukipata chance ya kwenda kusoma huwezi kuondoka sababu una deni la mkopo.. maana unajua kampuni binafisi haiwezi kukulipa salary kama haupo kazini..!!!
 
Nashukuru japo hili suala halihitaji usamaria.

Unajua wakati mwingine tunajisahau. Unaweza ukaona kama unawakomoa benki lakini nimekufunza kuna faida sana kuwa na mahusiano mazuri na benki yako.

1. Benki nyingi kama sio zote, wanaweza kukuongezea mkopo hata kama haujamaliza ule uliochukua awali (top up)
Kama ulipaji wako una walakini unakosa hiyo fursa.

2. Siku hizi kuna makampuni yanayokusanya taarifa za watu wasiolipa madeni (defaulters), iko siku unaweza kuamua kwenda kuchukua mkopo benki nyingine unakumbana na kikwazo kwamba haukopesheki kwa sababu sio mlipaji mzuri na una shida.

Kwa uchache ni hayo tu mkuu.
Nashukuru kwa maelezo yako mkuu..sina nia ya kukimbia na mm nliongea nao pia ili niweze kuzuia.. Hali hii maana najua kwa maisha huku inaweza kunicost hata mambo ya mogage nk..
 
Nashukuru mkuu..siwezi kukimbia kulipa mkopo..ila kutokana na mazingira ya sasa hivi inakuwa ngumu kidogo na nlishawatarifu..ila kinachosumbua ni kwamba nikiongea nao tunaelewana nikikaa mwezi mmoja ikifika zile tarehe za kurudisha wananisumbua..!? na wananiambia watachukua hatua sasa kwenye situation kama hii ni hatua gani watachukua..?! Maana sijawaficha kwamba kwa sasa hivi hali ilivyo siwezi nikaendelea kulipa labda baada ya mwaka..
cc: samaritan

Nashukuru kwa maelezo yako mkuu..sina nia ya kukimbia na mm nliongea nao pia ili niweze kuzuia.. Hali hii maana najua kwa maisha huku inaweza kunicost hata mambo ya mogage nk..

Nimekuelewa na sababu ulizoziandika ni za kweli, lakini kumbuka unapoomba mkopo kuna zile form hua tunazijaza na kusign, ukizisoma vizuri zina maelezo yote ya masharti yanayo tawala huo mkopo.

Kumbuka ile ni biashara mkuu, sababu zako ni za msingi lakini bado haimaanishi zinakuondoa kwenye jukumu la kulipa. Kuna watu ambao wameajiriwa kazi yao ni kukusanya madeni kwa aliokopa benki, piga picha jamaa aliyekabidhiwa jukumu la kudai deni lako anatoa maelezo gani kwenye vikao kwa wakubwa zake wa kazi kila anapoulizwa maendeleo ya malipo ya mkopo wako?

Kwa benki usipo lipa hata kwa miezi miwili tu, licha ya kua na sababu zozote zile, tayari umekiuka masharti ya kupewa huo mkopo.
 
Ni kweli kabisa mkuu..kwa sabubu hiyo imenibidi nbadilishe mipango ya maisha mkuu ili niweze kuanza kulipa hilo deni lakini its takes time kidogo si unajua maisha mapya, sasa naona nawapa na hiyo option ila wanakuwa kama wanakomaa tu.. ndo nkataka kujua kama kuna etramile wanaweza kwenda..
 
Back
Top Bottom