Watalamu wa mambo ya fedha na mikopo ya bank...naomba kujuzwa kama mtu umekopa bank ukawa unakatwa kwenye mshahara na ukawa umedhaminiwa na mwajiri wako, na wafanyakazi wenzako bila kuweka aset yoyote kama nyumba au kiwanja..ukapata safari ya kwenda nje ya nchi, ukaondoka bila kumaliza deni..ni hatua gani bank inaweza kuchukua ili iweze kurudisha mkopo wao.?
NB. Mkopo ulikuwa na insurance
NB. Mkopo ulikuwa na insurance