Msaada kuhusu mkopo

Msaada kuhusu mkopo

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
134
Jaman naomben kujua kuhusu mikopo,
mm niko pale SAUT nachukua certificate ya ITT (INFORMATION TECHNOLOGY TECHNICIAN) je mwakan nikichukua Advanced Diploma naweza kupata mkopo? maana karo na marupu rupu ya naul na msosi aise gharama ni kubwa mno mpaka wa nyumban kwetu wanaona namalza hela tu!
Mwenye ufaham anijuze tafadhal
 
Kuna weny princples 2 form 6 na wamekosa mkopo we komaa 2 mdogo angu elimu gharama.
 
Back
Top Bottom