Msaada kuhusu mshahara wa Data Officer MDH

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
553
Heshima kwenu wadau

Naomba kujuzwa MDH wanalipaje kwa nafasi ya Data Officer nikiwa na maana ya mshahara na pia kama kuna posho zozote wanazotoa mbali na mshahara

Au yoyote mwenye idea ambae kashawahi kufanya nao kazi
 
Mpaka naondoka MDH 2018 Data officer alikua akilipwa 500k,ila kuna activities nyingi sana pale..... yaani waeza tengeneza hadi one million per month,kikubwa kua vizuri tu na incharge wako na DDC,kila la kheri mkuu
 
Nimekumbuka kabla sijahamia Taasisi/Shirika la Umma niliuliza kiwango cha mshahara kwa wadau wakanijibu ni Tsh1,525,000/= basi baada ya kuhamia nasoma mkataba naona ni Tsh1,350,000/= nilijisikia vibaya.
Nilipata furaha baada ya kuingiziwa posho Tsh150,000/= na Vocha Tsh50,000/= jumla Tsh200,000/=.

Mtoa mada huwezi kupata jibu sahihi hapa Jf.
 
Shukrani sana ndugu
 
Sh

Shukrani sana
 
Hiyo 1.35m ni take home au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RTI international wanalipaje wakuu kwa nafasi ya mhasibu mwenye degree moja,nimepigiwa simu leo kuitwa kwenye interview?
 
Mpaka naondoka MDH 2018 Data officer alikua akilipwa 500k,ila kuna activities nyingi sana pale..... yaani waeza tengeneza hadi one million per month,kikubwa kua vizuri tu na incharge wako na DDC,kila la kheri mkuu
Kwanini uliacha Boss?
 
Heshima kwenu wadau

Naomba kujuzwa MDH wanalipaje kwa nafasi ya Data Officer nikiwa na maana ya mshahara na pia kama kuna posho zozote wanazotoa mbali na mshahara

Au yoyote mwenye idea ambae kashawahi kufanya nao kazi
Ushapata jibu la uhakika boss, Na mimi nilitaka kujua ilo?
 
Back
Top Bottom