Msaada kuhusu NACTE

Ndenzaamo

Member
Joined
Feb 14, 2019
Posts
5
Reaction score
1
Naomba msaada wa uelewa kwa wale wanafunzi walio hitimu vyuo vya kati ngazi za diploma na wakawa wamepata vyeti katika mfumo wa NON NTA.

Kwa maana nyingine walio soma certificate mwaka mmoja na kupata cheti kisha wakasoma diploma miaka miwili na wakapata cheti pia kimoja.

Je, watu hawa wanaweza kupata msaada wakubadilishiwa vyeti kwa maana kuwa wapewe vyeti vilivyo kwenye mfumo wa NTA level 4 ,5,na 6 ili wasibaki nje ya mifumo ya ajira inayo tambua certificate ni miaka miwili kwa maana ya level 4, cheti level5 cheti na diploma mwaka mmoja cheti?
 
Nilikuwa natafuta ili swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…