TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Mambo ya Ahmed na Oyite (huyu Bwa' mdogo ana sura mbaya halafu ana nyodo kinoma, Manina!)... Nishawahi pita pale nikaacha kwa sababu ya mambo yao haya haya ya kisengenyaji. Ila nawashukuru manake walinifanya nichukie kwa moyo wote hii mambo ya kuajiriwa... Jiajirini wadogo zangu, hawa Erolink tupa kule