Habarini jamani. kwanza nishukuru uwepo wa jukwaa hili.
naombeni msaada juu ya ubora wa gari aina ya NOAH VOX.
napenda kujua ukimiliki gari kama hili unapaswa kulileaje, ni nini unapaswa kufanyika ili idumu.
na ni mambo gani yanauwa sana au kudhoofisha gari hizi. Asanteni naomba kuwasilisha