Msaada kuhusu NOAH VOX

Msaada kuhusu NOAH VOX

winmulu

Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
40
Reaction score
8
Habarini jamani. kwanza nishukuru uwepo wa jukwaa hili.
naombeni msaada juu ya ubora wa gari aina ya NOAH VOX.
napenda kujua ukimiliki gari kama hili unapaswa kulileaje, ni nini unapaswa kufanyika ili idumu.
na ni mambo gani yanauwa sana au kudhoofisha gari hizi. Asanteni naomba kuwasilisha
 
Kwanza kabisa inatakiwa ulinyweshe maziwa ya dagaa alafu linapolala uhakikishe umetandika vizuri umeweka na mito yenye foronya zilizoandikwa NOAH usisahau chandarua chenye maua yanayofanana na VOX.
 
You made my dae, humu inahitaji uvumilivu sana. Laiti tungekuwa tunaona kuna wangekuwa walemavu wa viuongo kwa mizaha.
 
Jiulize kwa nn VOX bei poa sana? 1000 usd (FOB) wao wajapan hawaitaki hiyo pesa?
 
Kwanza kabisa inatakiwa ulinyweshe maziwa ya dagaa alafu linapolala uhakikishe umetandika vizuri umeweka na mito yenye foronya zilizoandikwa NOAH usisahau chandarua chenye maua yanayofanana na VOX.

Jifunze ustaarabu mwenzio kauliza kwa nia njema we unajibu pumba......Usitufanye tukaamini kwamba unaumwa ugonjwa wa ZIKA
 
Duuuuuh...Hizi bange za jpili hizi ni hatari huyu kweli kesho atawahi kijiweni kweli 😉 🙂
 
Kwanza kabisa inatakiwa ulinyweshe maziwa ya dagaa alafu linapolala uhakikishe umetandika vizuri umeweka na mito yenye foronya zilizoandikwa NOAH usisahau chandarua chenye maua yanayofanana na VOX.
Dunia ina mambo kweli.haya bhana big up sana
 
Mleta mada nakujua... Umefanya vizuri kuuliza huku, manake unanichoshaga na viswali vyako kuhusu NOAH VOXY
 
Jifunze ustaarabu mwenzio kauliza kwa nia njema we unajibu pumba......Usitufanye tukaamini kwamba unaumwa ugonjwa wa ZIKA
Duh! kichaa kachukua nguo zako alafu umemkimbiza ukiwa naked.....teh teh nteh....
 
Hizi gari zinahitaji matunzo ya hali ya juu na barabara zetu hizi

Hizi gari vox ni box tu utaifurahia ikiwa mpya ila baada ya week bampa la mbele utaanza kulishona na waya
 
Nimeimiliki hii gari mwaka 2008 mpaka 2011 sikuwahipata shida ya aina yoyote na nimekwenda nayo Arusha-Dar mara kadhaa achilia mbali route za kila siku hapa Dar. Ilikua vizuri sana haikunisumbua lakini tofauti na mimi kuna watu wanasema Voxy si nzuri zinasumbua kwa vile zina injini ya D-4 ambayo inatumia umeme zaidi ya mechanical. Mafundi wengi wa mjini wanaziogopa injini hizo za AZR wakiwashauri wateja kununua gari zenye injini za AZZ ingawaje Wataalam wanadai D-4 injini ni much efficiency na less fuel consumption than the other. Napenda kukushauri u ache tu kama unaagiza au unataka noah ya show off chukua hiyo ya kawaida yenye 3s engine
 
ni kweli mkuu wabongo ni wakosoaji sana na mafundi ni chanzo kingine cha ubovu wa magari

kwenye hiyo gari kikubwa ni mafuta na service kwa wakati kama plugs,airclener,petrol filter n.k

huwezi fananisha ubora wa 1az fse na wa 3s fe mkuu. engine ya d4 ipo juu sana kwa ubora
 
Na ndiyo injini iliyopo kwenye hilux 2.8 double cabin New model, fortuner, na gari zote naona zinaperfom vizuri tu
 
Natumia noah old model yab1998,sikushauri uchukue old sababu haipo kwa matumizi ya ofisi au ki ofisa.
Old haina sehemu nyingi za kuweka private document kama hizo voxv.na unyaji ni 6km per lt na si zaidi ya hapo
 
Ukitaka gari ya familia, chukua TOYOTA COROLLA SPACIO.
 
Back
Top Bottom