You made my dae, humu inahitaji uvumilivu sana. Laiti tungekuwa tunaona kuna wangekuwa walemavu wa viuongo kwa mizaha.Kwanza kabisa inatakiwa ulinyweshe maziwa ya dagaa alafu linapolala uhakikishe umetandika vizuri umeweka na mito yenye foronya zilizoandikwa NOAH usisahau chandarua chenye maua yanayofanana na VOX.
Kwanza kabisa inatakiwa ulinyweshe maziwa ya dagaa alafu linapolala uhakikishe umetandika vizuri umeweka na mito yenye foronya zilizoandikwa NOAH usisahau chandarua chenye maua yanayofanana na VOX.
Duuuuuh...Hizi bange za jpili hizi ni hatari huyu kweli kesho atawahi kijiweni kweli 😉 🙂Kwanza kabisa inatakiwa ulinyweshe maziwa ya dagaa alafu linapolala uhakikishe umetandika vizuri umeweka na mito yenye foronya zilizoandikwa NOAH usisahau chandarua chenye maua yanayofanana na VOX.
Dunia ina mambo kweli.haya bhana big up sanaKwanza kabisa inatakiwa ulinyweshe maziwa ya dagaa alafu linapolala uhakikishe umetandika vizuri umeweka na mito yenye foronya zilizoandikwa NOAH usisahau chandarua chenye maua yanayofanana na VOX.
Ficha ujinga wako.Kwanza kabisa inatakiwa ulinyweshe maziwa ya dagaa alafu linapolala uhakikishe umetandika vizuri umeweka na mito yenye foronya zilizoandikwa NOAH usisahau chandarua chenye maua yanayofanana na VOX.
Umepanic.Ficha ujinga wako.
Umepanic mkuu.Duuuuuh...Hizi bange za jpili hizi ni hatari huyu kweli kesho atawahi kijiweni kweli 😉 🙂
Duh! kichaa kachukua nguo zako alafu umemkimbiza ukiwa naked.....teh teh nteh....Jifunze ustaarabu mwenzio kauliza kwa nia njema we unajibu pumba......Usitufanye tukaamini kwamba unaumwa ugonjwa wa ZIKA
ni kweli mkuu wabongo ni wakosoaji sana na mafundi ni chanzo kingine cha ubovu wa magariNimeimiliki hii gari mwaka 2008 mpaka 2011 sikuwahipata shida ya aina yoyote na nimekwenda nayo Arusha-Dar mara kadhaa achilia mbali route za kila siku hapa Dar. Ilikua vizuri sana haikunisumbua lakini tofauti na mimi kuna watu wanasema Voxy si nzuri zinasumbua kwa vile zina injini ya D-4 ambayo inatumia umeme zaidi ya mechanical. Mafundi wengi wa mjini wanaziogopa injini hizo za AZR wakiwashauri wateja kununua gari zenye injini za AZZ ingawaje Wataalam wanadai D-4 injini ni much efficiency na less fuel consumption than the other. Napenda kukushauri u ache tu kama unaagiza au unataka noah ya show off chukua hiyo ya kawaida yenye 3s engine